Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan
na chuo kikuu cha jawaharlal nehru, new delhi nchini india
Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali
Kuhusu Sisi
Idara ya Habari-MAELEZO ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, Mipango na Miradi ya Maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya sera na sheria za habari.
Idara iliundwa mwaka 1945 wakati wa Vita ya Pili ya Dunia. Wajibu wa Idara kwa wakati huo kwa kushirikiana na magazeti mbalimbali yakiwemo Mambo Leo na Habari za Leo ilikuwa ni kuwajulisha wananchi kuhusu maendeleo ya vita.
Aidha kwa wakati huo, Idara ilikuwa na jukumu la kupiga picha mbalimbali za matukio ya Serikali yanayotokea ndani na nje ya nchi.
Nifanyeje
This is a seasoned political leader known for his dedication public says service and commitment to bringing positive change.
Matukio
Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru
Maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani
Siku ya Vijana Duniani
Wiki ya Ustawi wa Jamii Nchini
Solving the climate emergency starts today
This is due to their excellent service, competitive pricing